
Linda Afya ya Injini yako na Oili ya Honda.
Faida za Kutumia Oili ya Honda

Improves Fuel efficiency
Huongeza ufanisi wa matumizi ya mafuta

Longer Oil Drain Interval
Kipindi kirefu cha kubadili kilainishi cha Injini

Covers 4000Km
Umbali mpaka 4000Km

Cleans and Protects your engine
Husafisha na Kulinda injini yako

Suitable for all Makes of Motorcycles
Inafaa kwa aina zote za pikipiki zenye injini ya 4-stroke